Thursday 9 April 2015

MATOKEO YA VODACOM TANZANIA ANGALIA HAPA

YANGA NA AZAM WALIKUWA KWENYE VIWANJA TOFAUTI

yanga nomaaaaaaaaaaaaaa

leo katika uwanja wa taifa YANGA amfunga COASTAL UNION magoli manane kwa kalai (8-0) na kuendeleza wimbi la ushindi katika ligi kuu soka Tanzania bara

AZAM YATOKA SARE LEO


  Leo  katika  uwanja wa CHAMAZI  MBANDE (azam complex) wametoka droo ya goli moja kwa moja(1-1) na timu ya MBEYA CITY na kuendelea kusalia na pointi zao 37 baada ya mchezo wa leo uku YANGA akiendelea kukwea kileleni

No comments:

Post a Comment