Tuesday 28 April 2015

MWANASOKA BORA LIGI KUU SOKA YA ENGLAND 2015

NI EDEN HAZARD MCHEZAJI WA TIMU YA CHELSEA AMBAYE AMEONESHA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUIWEZESHA CHELSEA KUTWAA KOMBE LA LIGI AMBALO UJULIKAKANA KAMA CAPITAL ONE CUP

HII NI BAADA YA KUONESHA KIWANGO KIZURI CHA SOKA NDAN YA UWANJA 

ALIKABIDHIWA KOMBE LAKE KATIKA HOTEL MOJA PALE LONDON AMBAYO INAJULIKANA KAMA GROSVENOR HOTEL PALE ENGLAND

PIA MCHEZAJI CHIPUKIZI AMEWEZA KUWA YULE WA TIMU YA TOTTENHAM GARRY KANE BAADA YA KUWAMWAGA DAVID DE GEA WA MAN  U NA RAHIM STALING WA LIVERPOOL







No comments:

Post a Comment