Tuesday 28 April 2015

SUPER WEDNESDAY 29/4/2015

LIGI KUU SOKA YA ENGLAND KUENDELEA TENA KWA MECHI MOJA PALE ZITAKAPOKUTANA TIMU ZA

1  LEICESTY CITY  VS  CHELSEA

MECHI ZA LEO 28/4/2015

1  HULLY CITY VS  LIVERPOOL

2  PSG VS METZ

3  BAYARN MUNCHEN VS BORRUSIA DORTMUND

4  UDINESE VS INTERNAZIONALE

5  BARCELONA VS GETAFE

MAGAZETI YA SIASA LEO









ASUBUHI NJEMA MTU WANGU 



MAGAZETI YA MICHEZO ASUBUHI JUMNNE





















MWANASOKA BORA LIGI KUU SOKA YA ENGLAND 2015

NI EDEN HAZARD MCHEZAJI WA TIMU YA CHELSEA AMBAYE AMEONESHA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUIWEZESHA CHELSEA KUTWAA KOMBE LA LIGI AMBALO UJULIKAKANA KAMA CAPITAL ONE CUP

HII NI BAADA YA KUONESHA KIWANGO KIZURI CHA SOKA NDAN YA UWANJA 

ALIKABIDHIWA KOMBE LAKE KATIKA HOTEL MOJA PALE LONDON AMBAYO INAJULIKANA KAMA GROSVENOR HOTEL PALE ENGLAND

PIA MCHEZAJI CHIPUKIZI AMEWEZA KUWA YULE WA TIMU YA TOTTENHAM GARRY KANE BAADA YA KUWAMWAGA DAVID DE GEA WA MAN  U NA RAHIM STALING WA LIVERPOOL