Mchezaji huyu wa manchester united amesema yuko tayari kukatwa mshahara wake ila aendelee kuitumikia timu yake msimu ujao
Manchester united walifanikiwa kuizidi timu ya liverpool na kupata saini ya huyu mchezaji akitokea Aston villa kwa ada ya paun million 17 mwaka 2011
Mtu wangu naendelea kukupa data pale ninapozipata tuko pamoja mtu wangu wa ukwel
No comments:
Post a Comment