Tuesday 14 April 2015

NDOTO ZA MASTAA WAWILI KUCHEZA PAMOJA

    MESS  NA CHRISTIANO  RONALDO  KUCHEZA TIMU MOJA


  



mundo derportive  mtandao unasema  kuwa ndoto za mastaa hawa wawili kuchezea timu moja zinaweza kufanikiwa kwa kuandaa mechi ya mastaa kutoka bara ulaya kusini


wachezaji wengine ni kama slatan ibrahimovich ,Gareth bale, neymar, and Edson cavan waweza kujumuishwa kwenye kikosi cha ulaya kusini


Wachezaji kama Wayne Rooney, Angel de Maria, Sergio kun Arguero, Alexis sanches, na Eden Hazard pamoja na wachezaji nyota wa bayern munich waweza kujumuishwa kwenye kikosi cha ulaya kaskazini

No comments:

Post a Comment