Tuesday 28 April 2015

YANGA BINGWA 2014/2015

JANA TIMU YA YANGA IMEWEZA KUTWAA UBINGWA WAKIWAPOKONYA AZM FC . HII NINBAADA YA KUIFUNGA TIMU YA POLISI MOROGORO KWA JUMLA YA MAGOLI 4 - 1 KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DARESALAAM JANA PALE AMBAPO HAMSI TAMBWE AKIFUNGA MAGOLI MATATU PEKE YAKE . YANGA WAMEFIKISHA POINTI 55 AMBAZO HAZIWEZI KUFIKIWA NA TIMU YOYOTE KATIKA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA


No comments:

Post a Comment