Thursday 14 May 2015

TANZANIA KUSHIRIKI COSAFA UKO AFRIKA KUSINI

TIMU YA TAIFA STARS IMEPATA MWALIKO PALE BONDENI KWA MADIBA  AFRIKA KUSINI

TIMU YA TANZANIA IKO AFRIKA KUSINI TAYARI KWA MASHINDANO AMBAPO WAMEUNGANA NA MRISHO NGASSA AMBAYE AMESAINI KUITUMIKIA TIMU HIYO KWA MKATABA WA MIAKA MINNE(4) WAKICHEZA KWA AJILI YA MECHI ZA KUFUZU  KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA NA CHANI  DHIDI YA EGYPTY NA UGANDA

No comments:

Post a Comment