Saturday 23 May 2015

HAWA NDIO WAZURI ZAIDI LIGI KUU SOKA YA ENGLAND

TIMU YA CHELSEA NDIO MABINGWA WA LIGI KUU SOKA YA ENGLAND 2014/2015 BAADA YA MIAKA MITANO NA KOCHA MACHACHALI JOSE MOURNHO KUIONGOZA TIMU HIYO NA KUTWAA UBINGWA NA KUWA KOCHA BORA PIA NA EDEN HAZARD  KIUNGO WA KATI NAYE KUWA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU

No comments:

Post a Comment