Friday 8 May 2015

LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA YAKARIBIA MWISHONI KABISA

VODACOM PREMIER LEAGUE INAYODHAMINIWA NA VODACOM NA AZAM MSIMU WA 2014/2015 WAKARIBIA KUMALIZIKA 

NI MECHI MOJAMOJA KILA TIMU IMEBAKIZA NA HUKU BADO HAIJULIKANI NANI ANASHUKA DARAJA NANI ANABAKI BAADA YA LIGI KUWA NGUMU MPAKA KUSUBIRI ZA MWISHO KABISA ILI KUJUA HATIMA ZA TIMU LIGI KUU SOKA BARA MPAKA SASA HIVI KUANZIA TIMU YA TANO AMBAYO NI MBEYA CITY MPAKA YA MWISHO YOYOTE YAWEZA KUTEREMKA DARAJA IKIFANYA VIBAYA MECHI YAKE YA MWISHO

No comments:

Post a Comment