Saturday 7 November 2015

MAGUFULI JANA ALIZURU OFISI ZA HAZINA JIJINI DAR 

Rais mteule wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr. john pombe joseph magufuli alienda ofisi za fedha jijini dar na kukuta wafanyakazi sita wakiwa hawapo eneo la kazi pia akafanya kikao kifupi na viongozi wao.

No comments:

Post a Comment