Wednesday 24 June 2015

HATIMAYE KOCHA CHARSE BONIPHACE MKWASA ATEULIWA KUIFUNDISHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWA MUDA WA MIEZI MITATU KWANZA BAADA YA HAPO TAARIFA NYINGINE ITAFUATA


WATANZANIA WAMEFURAHI JAPO KWA UTEUZI WA KOCHA HUYO MPAKA MDA HUU SASA TUMPE NAFASI YA KUJICHAGULIA WACHEZAJI BILA KUINGILIWA MAANA RAIS WA TFF AMESEMA TIMU YA TZ IUNDWE UPYA KWA UCHAGUZI WA KOCHA MWENYEWE

No comments:

Post a Comment